iqna

IQNA

kujibari na washirikina
Hija
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema, kwa kuzingatia Aya za Qur'ani Tukufu na kumbukumbu ya jina lililobarikiwa la Nabii Ibrahim (AS), ibada ya Hija ya mwaka huu inapaswa kuwa zaidi ya Hija ya kila mwaka, na inabidi iwe Hija na kutangazwa kujitenga au kujibari na adui wa Waislamu, Mzayuni mtenda uhalifu na wafuasi wake wa nchi za Marekani, Uingereza na Wamagharibi kwa ujumla.
Habari ID: 3478791    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/08

Hija
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema, kwa kuzingatia Aya za Qur'ani Tukufu na kumbukumbu ya jina lililobarikiwa la Nabii Ibrahim (AS), ibada ya Hija ya mwaka huu inapaswa kuwa zaidi ya Hija ya kila mwaka, na inabidi iwe Hija na kutangaza kujitenga au kujibari na adui wa Waislamu, Mzayuni mtenda uhalifu na wafuasi wake.
Habari ID: 3478779    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/06

Ibada ya Hija
TEHRAN (IQNA)- Mahujaji Wairani wameshiriki katika mjumuiko wa kujibari na kujiweka mbali na washirikina (bar’aat min-al-mushrikeen) siku ya Ijumaa wakati wa Ibada ya Hija mwaka huu wa 1443 Hijria Qamaria
Habari ID: 3475482    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/09